jigoloazdiricisexsohbet sevisme sahnelerifilm izle izlearkadaserotik

Baraza la Sanaa la Taifa ni Shirika la Umma lililoundwa kwa Sheria ya Bunge Na.23 ya 1984. Baraza ni chombo cha
Serikali cha dhima kuhuisha, kukuza na kuendeleza sanaa Tanzania.

Dira
Baraza linapania kujenga Mtanzania mmaizi na mtumizi wa sanaa aliyehamasika kushiriki kikamilifu katika kuzalisha
na kutumia sanaa bora.

Dhamiri
Kuwezesha uzalishaji na utumiaji wa kazi na huduma nzuri za sanaa.

Maadili
Maadili ya msingi ya Baraza la Sanaa la Taifa ni kuhimiza na kukukuza utamaduni halisi wa sanaa ya Kitanzania,
kudumisha ubobezi na ubora wa hali ya juu na kuchochea ubunifu na uvumbuzi katika sanaa

Limepania kuhimiza na kukuza utamaduni halisi wa sanaa ya Kitanzania
Limepania kudumisha ubobezi na ubora wa hali ya juu
Limepania kuhimiza ubunifu na uvumbuzi katika sanaa
 

Habari mbalimbali:

WASANII WAOMBA TRA NA TBS WAGEUKIE SANAA
BASATA YAHIMIZA MSHIKAMANO WA WASANII
BASATA YATOA ELIMU YA VVU KWA WASANII
WADAU WAOMBA BALOZI ZITUMIKE KUTANGAZA SANAA
 

Sanaa Press Talk:

 
Barua pepe za watumishi:

Bofya hapa kuingia

Hakimiliki 2009, BASATA. Haki zote zimehifadhiwa.

Imeundwa na: Vision